TAZAMA VIDEO: SUA na mafunzo ya Kilimo Biashara


Hivi karibuni, Shirika la Utangazaji Tanzania TBC wamefanya kipindi maalum kinachoangazia shughuli mbalimbali zinazofanywa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

Katika makala hii utamsikia Frank Mazengo akielezea shughuli mbalimbali zinazofanyika SUA hususan kwenye eneo la mafunzo ya Kilimo Biashara

SUA

Share this page