TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SUA KUANZIA TAREHE 09 HADI 10 JUNI, 2020

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Chuo Kikuu  cha Kilimo (SUA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 09 hadi 10 Juni, 2020 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.

Bofya hapa kusoma maelekezo pamoja na majina ya wanaoitwa kwenye usaili (PDF)

Share this page